أَلَمۡ يَكُ نُطۡفَةࣰ مِّن مَّنِيࣲّ يُمۡنَىٰ ٣٧
Al-Qiyamah 75:37
سورة القيامة
Makka
Aya: 37/40
Ukurasa 578
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kwani hakuwa binadamu huyu ni tone la manii dhaifu linalotokana na maji matwevu yanayomwagwa na kumiminwa kwenye kizazi,
Al-Qiyamah 75:37
Inapakia kisomo…
0:00