ثُمَّ كَانَ عَلَقَةࣰ فَخَلَقَ فَسَوَّىٰ ٣٨
Al-Qiyamah 75:38
سورة القيامة
Makka
Aya: 38/40
Ukurasa 578
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kisha akawa kidonge cha damu, tena Mwenyezi Mungu akamuumba na akamtengeneza vilivyo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
kisha yakawa ni kipande cha damu iliyo kavu. Mwenyezi Mungu Akaliumba kwa uweza Wake na Akazilinganisha sura zake katika umbo la mwili lililo zuri kabisa?
Al-Qiyamah 75:38
Inapakia kisomo…
0:00