لَوۡ نَشَآءُ جَعَلۡنَٰهُ أُجَاجࣰا فَلَوۡلَا تَشۡكُرُونَ ٧٠
Al-Waqi'ah 56:70
سورة الواقعة
Makka
Aya: 70/96
Ukurasa 536
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Tungeli penda tungeli yafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Lau tungalitaka tungaliyafanya maji haya yawe na chumvi sana, ikiwa haiwezekani kunufaika nayo kwa kunywa wala kwa mimea. Basi si mumshukuru Mola wenu kwa kuteremsha maji tamu kwa kuwanufaisha nyinyi.
Al-Waqi'ah 56:70
Inapakia kisomo…
0:00