فَسَبِّحۡ بِٱسۡمِ رَبِّكَ ٱلۡعَظِيمِ ٩٦
Al-Waqi'ah 56:96
سورة الواقعة
Makka
Aya: 96/96
Ukurasa 537
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkubwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi litakase jina la Mola wako Aliyetukuka na umtakase na yale ambayo madhalimu na wenye kukanusha wanayasema. Mwenyezi Mungu Yuko juu ya yale wanayoyasema ujuu mkubwa sana.
Al-Waqi'ah 56:96
Inapakia kisomo…
0:00