أَلَّا تَزِرُ وَازِرَةࣱ وِزۡرَ أُخۡرَىٰ ٣٨
An-Najm 53:38
سورة النجم
Makka
Aya: 38/62
Ukurasa 527
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ya kwamba hakika nafsi iliyo beba madhambi haibebi madhambi ya mwengine? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kwamba haipatilizwi nafsi yoyote kwa kosa la nafsi nyingine, na mzigo wake hakuna yoyote atakayembebea.
An-Najm 53:38
Inapakia kisomo…
0:00