رَبُّ ٱلۡمَشۡرِقَيۡنِ وَرَبُّ ٱلۡمَغۡرِبَيۡنِ ١٧
Ar-Rahman 55:17
سورة الرحمن
Madina
Aya: 17/78
Ukurasa 531
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Mola Mlezi wa mashariki mbili na wa magharibi mbili. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mola wa pande mbili za Mashariki ya jua, katika kusi na kaskazi, na Mola wa pande mbili za Magharibi ya jua, katika kusi na kaskazi, kwani vyote viko chini ya uendeshaji Wake na ulezi Wake..
Ar-Rahman 55:17
Inapakia kisomo…
0:00