يَخۡرُجُ مِنۡهُمَا ٱللُّؤۡلُؤُ وَٱلۡمَرۡجَانُ ٢٢
Ar-Rahman 55:22
سورة الرحمن
Madina
Aya: 22/78
Ukurasa 532
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Katika hizo bahari mbili zinatoka lulu na marijani. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Inatoka kwenye bahari mbili hizo, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, lulu na marjani.
Ar-Rahman 55:22
Inapakia kisomo…
0:00