Ar-Rahman 55:48

سورة الرحمن

Madina Aya: 48/78 Ukurasa 533

ذَوَاتَآ أَفۡنَانࣲ ٤٨

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Bustani zenye matawi yaliyo tanda.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Mabustani mawili hayo ya Pepo yana matawi yaliyostawi kwa matunda ya kila aina.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu