فَسَاهَمَ فَكَانَ مِنَ ٱلۡمُدۡحَضِينَ ١٤١
As-Saffat 37:141
سورة الصافات
Makka
Aya: 141/182
Ukurasa 451
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mawimbi makubwa yakaizunguka jahazi hiyo kila upande. Na watu waliokuwa wamepanda jahazi wakapiga kura ili kupunguza shehena ili wasizame. Yūnus akawa ni miongoni mwa wale walioshindwa kwa kura.
As-Saffat 37:141
Inapakia kisomo…
0:00