وَلَقَدۡ نَادَىٰنَا نُوحࣱ فَلَنِعۡمَ ٱلۡمُجِيبُونَ ٧٥
As-Saffat 37:75
سورة الصافات
Makka
Aya: 75/182
Ukurasa 448
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika Nuhu alitwita, na Sisi ni bora wa waitikiaji. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kwa hakika Alituita kwa kutuomba Nabii wetu Nūḥ tumlinde na watu wake, basi bora wa wenye kumuitikia tulikuwa ni sisi.
As-Saffat 37:75
Inapakia kisomo…
0:00