وَنَجَّيۡنَٰهُ وَأَهۡلَهُۥ مِنَ ٱلۡكَرۡبِ ٱلۡعَظِيمِ ٧٦
As-Saffat 37:76
سورة الصافات
Makka
Aya: 76/182
Ukurasa 448
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tulimwokoa yeye na ahali zake kutokana na msiba mkubwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tukamuokoa yeye na watu wa nyumbani kwake na Waumini pamoja naye kutokana na maudhi ya washirikina na kutokana na kuzamishwa kwa mafuriko makubwa.
As-Saffat 37:76
Inapakia kisomo…
0:00