قَالَ أَوَلَوۡ جِئۡتُكَ بِشَيۡءࣲ مُّبِينࣲ ٣٠
Ash-Shu'ara' 26:30
سورة الشعراء
Makka
Aya: 30/227
Ukurasa 368
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Je! Ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mūsā akasema, «Je, utanifanya mimi ni miongoni mwa wafungwa jela, hata nikikuletea hoja ya kukata ambayo kwa hiyo utabainika ukweli wangu?»
Ash-Shu'ara' 26:30
Inapakia kisomo…
0:00