قَالَ فَأۡتِ بِهِۦٓ إِن كُنتَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ ٣١
Ash-Shu'ara' 26:31
سورة الشعراء
Makka
Aya: 31/227
Ukurasa 368
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Kilete basi, kama wewe ni katika wasemao kweli. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Fir’awn akasema, «Basi ilete ikiwa wewe ni miongoni mwa wakweli katika madai yako.»
Ash-Shu'ara' 26:31
Inapakia kisomo…
0:00