فَأَخۡرَجۡنَٰهُم مِّن جَنَّٰتࣲ وَعُيُونࣲ ٥٧
Ash-Shu'ara' 26:57
سورة الشعراء
Makka
Aya: 57/227
Ukurasa 369
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi tukawatoa katika mabustani na chemchem, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mwenyezi Mungu Akamtoa Fir’awn na watu wake kwenye ardhi ya Misri yenye mabustani, mabubujiko ya maji,
Ash-Shu'ara' 26:57
Inapakia kisomo…
0:00