قَالُواْ وَهُمۡ فِيهَا يَخۡتَصِمُونَ ٩٦
Ash-Shu'ara' 26:96
سورة الشعراء
Makka
Aya: 96/227
Ukurasa 371
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Watasema, na hali ya kuwa wanazozana humo: -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Watasema wakikiri makosa yao, na huku wanagombana, ndani ya Jahanamu, na wale waliowapoteza wao,
Ash-Shu'ara' 26:96
Inapakia kisomo…
0:00