تَٱللَّهِ إِن كُنَّا لَفِي ضَلَٰلࣲ مُّبِينٍ ٩٧
Ash-Shu'ara' 26:97
سورة الشعراء
Makka
Aya: 97/227
Ukurasa 371
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wallahi! Kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Tunaapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba sisi, duniani, tulikuwa kwenye upotevu ulio waziwazi, haukuwa umefichika,
Ash-Shu'ara' 26:97
Inapakia kisomo…
0:00