إِنَّا جَعَلۡنَٰهُ قُرۡءَٰنًا عَرَبِيࣰّا لَّعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ ٣
Az-Zukhruf 43:3
سورة الزخرف
Makka
Aya: 3/89
Ukurasa 489
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika Sisi tumeifanya Qur'ani kwa Kiarabu ili mfahamu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika sisi tumeiteremsha Qur’ani kwa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kwa lugha ya Kiarabu , huenda nyinyi mkaelewa na mkazingatia maana yake na hoja zake.
Az-Zukhruf 43:3
Inapakia kisomo…
0:00