لَكُمۡ فِيهَا فَٰكِهَةࣱ كَثِيرَةࣱ مِّنۡهَا تَأۡكُلُونَ ٧٣
Az-Zukhruf 43:73
سورة الزخرف
Makka
Aya: 73/89
Ukurasa 494
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Mnayo humo matunda mengi mtakayo yala. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mtakuwa nayo, humo Peponi, matunda mengi ya kila aina ya nyinyi kuyala.
Az-Zukhruf 43:73
Inapakia kisomo…
0:00