إِنَّ ٱلۡمُجۡرِمِينَ فِي عَذَابِ جَهَنَّمَ خَٰلِدُونَ ٧٤
Az-Zukhruf 43:74
سورة الزخرف
Makka
Aya: 74/89
Ukurasa 495
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa hakika wakosefu watakaa katika adhabu ya Jahannamu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika ya wale waliochuma dhambi kwa ukanushaji wao, ni wenye kukaa ndani ya adhabu ya Jahanamu.
Az-Zukhruf 43:74
Inapakia kisomo…
0:00