لَا يُفَتَّرُ عَنۡهُمۡ وَهُمۡ فِيهِ مُبۡلِسُونَ ٧٥
Az-Zukhruf 43:75
سورة الزخرف
Makka
Aya: 75/89
Ukurasa 495
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hawatapumzishwa nayo na humo watakata tamaa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hawatasahilishiwa, na wao wakiwa ndani yake watakuwa ni wenye kukata tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.
Az-Zukhruf 43:75
Inapakia kisomo…
0:00