وَمَا ظَلَمۡنَٰهُمۡ وَلَٰكِن كَانُواْ هُمُ ٱلظَّٰلِمِينَ ٧٦
Az-Zukhruf 43:76
سورة الزخرف
Makka
Aya: 76/89
Ukurasa 495
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wala Sisi hatukuwadhulumu, bali wao ndio walio kuwa madhaalimu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hatukuwadhulumu wahalifu hawa kwa kuwaadhibu , isipokuwa ni wao wenyewe ndio waliojidhulumu nafsi zao kwa kushirikisha kwao na kukataa kuwa Mwenyezi Mungu Ndie Mola wa haki, Aliye Peke Yake, Asiye na Mshirika na kuacha kuwafuata Mitume wa Mola wao.
Az-Zukhruf 43:76
Inapakia kisomo…
0:00