وَتِلۡكَ ٱلۡجَنَّةُ ٱلَّتِيٓ أُورِثۡتُمُوهَا بِمَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ٧٢
Az-Zukhruf 43:72
سورة الزخرف
Makka
Aya: 72/89
Ukurasa 494
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hiyo ni Pepo mliyo rithishwa kwa hayo mliyo kuwa mkiyafanya. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hii Pepo ambayo Mwenyezi Mungu Amewarithisha, ni kwa sababu ya kile mlichokuwa mkikifanya ulimwenguni cha mambo ya kheri na matendo mema, na akaifanya, kwa wema Wake na rehema Yake, ni malipo yenu.
Az-Zukhruf 43:72
Inapakia kisomo…
0:00