Az-Zumar 39:30

سورة الزمر

Makka Aya: 30/75 Ukurasa 461

إِنَّكَ مَيِّتࣱ وَإِنَّهُم مَّيِّتُونَ ٣٠

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Kwa hakika wewe utakufa, na wao watakufa.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Wewe ni mwenye kufa, ewe Mtume, na wao ni wenye kufa,

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu