وَكُلُّهُمۡ ءَاتِيهِ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ فَرۡدًا ٩٥
Maryam 19:95
سورة مريم
Makka
Aya: 95/98
Ukurasa 311
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na kila mmoja katika wao atamfikia Siku ya Kiyama peke yake. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kila mtu, miongoni mwa viumbe, atamjia Mola wake, Siku ya Kiyama, hali ya kuwa hana mali wala watoto pamoja na yeye.
Maryam 19:95
Inapakia kisomo…
0:00