وَٱللَّهُ أَنۢبَتَكُم مِّنَ ٱلۡأَرۡضِ نَبَاتࣰا ١٧
Nooh 71:17
سورة نوح
Makka
Aya: 17/28
Ukurasa 571
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na Mwenyezi Mungu amekuotesheni katika ardhi kama mimea. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mwenyezi Mungu aliumba asili yenu kutokana na ardhi,
Nooh 71:17
Inapakia kisomo…
0:00