بَلِ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ فِي عِزَّةࣲ وَشِقَاقࣲ ٢
Sad 38:2
سورة ص
Makka
Aya: 2/88
Ukurasa 453
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Lakini walio kufuru wamo katika majivuno na upinzani -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Anaapa Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika, kwa Qur’ani inayokusanya ukumbushaji kwa watu kwa yale ambayo wao wameghafilika nayo. Lakini makafiri wanaifanyia kiburi haki na wanaenda kinyume nayo.
Sad 38:2
Inapakia kisomo…
0:00