إِنَّآ أَخۡلَصۡنَٰهُم بِخَالِصَةࣲ ذِكۡرَى ٱلدَّارِ ٤٦
Sad 38:46
سورة ص
Makka
Aya: 46/88
Ukurasa 456
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Sisi tumewakhusisha wao kwa sifa ya ukumbusho wa Akhera. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Sisi tumewahusisha wao kwa jambo kubwa ambalo ni mahsusi kwao, kwa kuwa tumejaalia ukumbusho wa Nyumba ya Akhera uko ndani ya nyoyo zao, na kwa hivyo wakaifanyia kazi kwa kututii sisi na wakawalingania watu kwenye jambo hilo na kuwakumbusha.
Sad 38:46
Inapakia kisomo…
0:00