وَلَقَدۡ مَنَنَّا عَلَيۡكَ مَرَّةً أُخۡرَىٰٓ ٣٧
TaHa 20:37
سورة طه
Makka
Aya: 37/135
Ukurasa 313
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika tulikwisha kufanyia hisani mara nyengine... -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Na tulikupa , ewe Mūsā, kabla ya neema hii, neema nyingine ulipokuwa ni mtoto wa kunyonya tukakuokoa na unyanyasaji wa Fir'awn.
TaHa 20:37
Inapakia kisomo…
0:00