هُمۡ وَأَزۡوَٰجُهُمۡ فِي ظِلَٰلٍ عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ مُتَّكِـُٔونَ ٥٦
YaSin 36:56
سورة يس
Makka
Aya: 56/83
Ukurasa 444
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wao na wake zao wamo katika vivuli wameegemea juu ya viti vya fakhari. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wao na wake zao watakuwa wanajistarehesha juu ya vitanda vilivyopambwa , na chini ya vivuli vilivyoenea.
YaSin 36:56
Inapakia kisomo…
0:00