لَهُمۡ فِيهَا فَٰكِهَةࣱ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ ٥٧
YaSin 36:57
سورة يس
Makka
Aya: 57/83
Ukurasa 444
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wao Peponi watakuwa na starehe ya matunda yenye ladha ya kila aina, na watakuwa na kila wanalolitaka.
YaSin 36:57
Inapakia kisomo…
0:00