ذَٰلِكَ فَضۡلُ ٱللَّهِ يُؤۡتِيهِ مَن يَشَآءُۚ وَٱللَّهُ ذُو ٱلۡفَضۡلِ ٱلۡعَظِيمِ
Hiyo ni fadhila ya Mwenyezi Mungu anayo mpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kubwa.
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kutumilizwa huko kwa Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kwa ummah wa Kiarabu na wasiokuwa wao, ni wema kutoka kwa Mwenyezi Mungu humpa Anayemtaka miongoni mwa waja Wake. Na Yeye, Peke Yake, Ndiye Mwenye wema na upaji mwingi.
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس