Sura Al-Ikhlas kwa Kiswahili
سورة الإخلاص · Aya: 4 · Makka
Tafsiri: Ali Muhsin Al - Swahili translation
-
1
قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ
Al-Ikhlas
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. -
2
ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. -
3
لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ
Hakuzaa wala hakuzaliwa. -
4
وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.