ترجمة سورة الإخلاص

Ali Muhsin Al - Swahili translation
ترجمة معاني سورة الإخلاص باللغة السواحلية من كتاب Ali Muhsin Al - Swahili translation .

Al-Ikhlas


Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

Hakuzaa wala hakuzaliwa.

Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
Icon