ترجمة معاني سورة الإخلاص باللغة السواحلية من كتاب Ali Muhsin Al - Swahili translation . ﰡ ﭑﭒﭓﭔ ﰀ Al-IkhlasSema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ﭖﭗ ﰁ Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ﭙﭚﭛﭜ ﰂ Hakuzaa wala hakuzaliwa. ﭞﭟﭠﭡﭢ ﰃ Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.