قَالَ ٱلَّذِينَ ٱسۡتَكۡبَرُوٓاْ إِنَّا بِٱلَّذِيٓ ءَامَنتُم بِهِۦ كَٰفِرُونَ
Wakasema wale wanao jivuna: Sisi tunayakataa hayo mnayo yaamini.
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema wale waliojiona, «Sisi ni wenye kuyakanusha hayo mliyoyaamini nyinyi na kuyafuata kuhusu unabii wa Ṣāliḥ.”
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس