ترجمة معاني سورة الفجر باللغة السواحلية من كتاب Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation

آية رقم 1

Al-Fajr


Naapa kwa alfajiri,
آية رقم 3

Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja,
آية رقم 14

Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia.
آية رقم 24

Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu!
آية رقم 30

Na ingia katika Pepo yangu.
تقدم القراءة