وَٱلَّذِينَ تَدۡعُونَ مِن دُونِهِۦ لَا يَسۡتَطِيعُونَ نَصۡرَكُمۡ وَلَآ أَنفُسَهُمۡ يَنصُرُونَ
Na hao mnao waomba asiye kuwa Mwenyezi hawawezi kukunusuruni, wala hawajinusuru wenyewe.
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wale waungu ambao nyinyi mnawaomba, enyi washirikina, badala ya Mwenyezi Mungu, hawawezi kuwanusuru nyinyi wala kuzinusuru nafsi zao.
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس