Tafsiri ya Sura An-Nasr kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation
Verse 1
ﭱﭲﭳﭴﭵ
ﭶ
An-Nasr
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
Verse 2
Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,
Verse 3
Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.
تقدم القراءة