سورة ص

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura Sad kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation


Na pia ndege walio kusanywa makundi kwa makundi; wote walikuwa wanyenyekevu kwake.
Verse 37

Na tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi.

Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa kwetu, na pahala pazuri pa kurejea.
Verse 56

Nayo ni Jahannamu! Wataingia humo. Nacho hicho ni kitanda kiovu mno cha kulalia.
Verse 80

Mwenyezi Mungu akasema: Basi umekwisha kuwa miongoni mwa walio pewa muhula,
Verse 82

Akasema (Iblisi): Naapa kwa utukufu wako, bila ya shaka nitawapoteza wote,
تقدم القراءة