سورة فصلت

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura Fussilat kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Verse 2

Uteremsho huu umetoka kwa Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

Kitoacho khabari njema, na chenye kuonya. Lakini wengi katika wao wamepuuza; kwa hivyo hawasikii.

Basi hapana shaka tutawaonjesha hao walio kufuru adhabu kali, na hapana shaka tutawalipa malipo mabaya ya yale waliyo kuwa wakiyafanya.
تقدم القراءة