سورة الذاريات

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura Az-Zariyat kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Verse 1

Az-Zariyat


Naapa kwa pepo zinazo tawanya,
Verse 8

Hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana.
Verse 34

Yaliyo tiwa alama kutoka kwa Mola wako Mlezi kwa ajili ya wanao pindukia mipaka.

Lakini alipuuza kwa sababu ya nguvu zake na akasema: Huyu ni mchawi au mwendawazimu!

Na mbingu tumezifanya kwa nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio twenye uwezo wa kuzitanua.
Verse 48

Na ardhi tumeitandaza; basi watandazaji wazuri namna gani Sisi!
تقدم القراءة