سورة الحجر

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura A-Hijr kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation


(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni!
Verse 37

(Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula
Verse 43

Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote.
Verse 64

Na tumefika kwako kwa Haki, na hakika sisi tunasema kweli.

Naapa kwa umri wako! Hakika hao walikuwa katika ulevi wao, wakihangaika ovyo.

Kwa hivyo tukawaadhibu. Na nchi mbili hizi ziko kwenye njia ilio wazi.
Verse 92

Basi Naapa kwa Mola wako Mlezi! Tutawahoji wote,
Verse 95

Hakika Sisi tunatosha kukukinga na wanao kejeli.
تقدم القراءة