Tafsiri ya Sura Ali-Humazah kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation
Verse 1
ﭢﭣﭤﭥ
ﭦ
Ali-Humazah
Ole wake kila safihi, msengenyaji!
Verse 2
ﭧﭨﭩﭪ
ﭫ
Aliye kusanya mali na kuyahisabu.
Verse 3
ﭬﭭﭮﭯ
ﭰ
Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele!
Verse 4
ﭱﭲﭳﭴﭵ
ﭶ
Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama.
Verse 5
ﭷﭸﭹﭺ
ﭻ
Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama?
Verse 6
ﭼﭽﭾ
ﭿ
Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa.
Verse 7
ﮀﮁﮂﮃ
ﮄ
Ambao unapanda nyoyoni.
Verse 8
ﮅﮆﮇ
ﮈ
Hakika huo utafungiwa nao
Verse 9
ﮉﮊﮋ
ﮌ
Kwenye nguzo zilio nyooshwa.
تقدم القراءة