سورة المؤمنون

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura Al-Muminu kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation


(Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta.

Basi ukawanyakua ukelele kwa haki, na tukawafanya kama takataka zinazo elea juu ya maji. Ikapotelea mbali kaumu ya madhaalimu!
Verse 48

Basi wakawakanusha, na wakawa miongoni mwa walio angamizwa.

Na tukamfanya mwana wa Mariamu na mama yake kuwa ni Ishara, na tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka penye utulivu na chemchem za maji.
Verse 67

Na huku mkitakabari na usiku mkiizungumza (Qur'ani) kwa dharau.
تقدم القراءة