سورة القيامة

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura Al-Kiyama kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Verse 28

Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko kufariki;

Kisha akawa kidonge cha damu, tena Mwenyezi Mungu akamuumba na akamtengeneza vilivyo.
تقدم القراءة