سورة النجم

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura An-Najm kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Verse 21

Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?
Verse 25

Mwenyezi Mungu tu ndiye Mwenye dunia na Akhera.

Ya kwamba hakika nafsi iliyo beba madhambi haibebi madhambi ya mwengine?
Verse 49

Na kwamba hakika Yeye ndiye Mola Mlezi wa nyota ya Shii'ra.
Verse 53

Na miji iliyo pinduliwa, ni Yeye aliye ipindua.
تقدم القراءة