Tafsiri ya Sura Kuraish kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation
Verse 1
ﭑﭒ
ﭓ
Kuraish
Kwa walivyo zoea Maqureshi,
Verse 2
ﭔﭕﭖﭗ
ﭘ
Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
Verse 3
ﭙﭚﭛﭜ
ﭝ
Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii,
Verse 4
Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu.
تقدم القراءة