سورة الشمس

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura As-Shams kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Verse 1

As-Shams


Naapa kwa jua na mwangaza wake!
Verse 11

Kina Thamudi walikadhibisha kwa sababu ya upotofu wao,

Hapo Mtume wa Mwenyezi Mungu alipo waambia: Huyu ni ngamia wa Mwenyezi Mungu, mwacheni anywe maji fungu lake.

Lakini walimkadhibisha na wakamchinja ngamia, kwa hivyo Mola wao Mlezi aliwaangamiza kwa sababu ya dhambi zao na akawafuta kabisa.
تقدم القراءة