سورة المعارج

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Tafsiri ya Sura Al-Ma'arij kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation

Ali Muhsin Al - Swahili translation

Verse 8

Siku ambayo mbingu zitakapo kuwa kama maadeni iliyo yayushwa.
Verse 18

Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi.
Verse 25

Kwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba;
تقدم القراءة