Tafsiri ya Sura At-Tin kwa السواحلية kutoka Ali Muhsin Al - Swahili translation
Verse 1
ﭫﭬ
ﭭ
At-Tin
Naapa kwa tini na zaituni!
Verse 2
ﭮﭯ
ﭰ
Na kwa Mlima wa Sinai!
Verse 3
ﭱﭲﭳ
ﭴ
Na kwa mji huu wenye amani!
Verse 4
ﭵﭶﭷﭸﭹﭺ
ﭻ
Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.
Verse 5
ﭼﭽﭾﭿ
ﮀ
Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini!
Verse 6
Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha.
Verse 7
ﮋﮌﮍﮎ
ﮏ
Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo?
Verse 8
ﮐﮑﮒﮓ
ﮔ
Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote?
تقدم القراءة